SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa adhabu ya kuwapokonya pointi tatu klabu za Bunda Queens na Tausi baada ya kushindwa kufika uwanjani kwenye mechi za kwanza za Ligi Kuu ...
ALIYEKUWA Kocha wa KMC, Mbrazil Marcio Maximo amesema hajutii uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa timu hiyo wa kusitisha ...
BAADA ya mabosi wa Mbeya City kumkosa kiungo wa Yanga, Farid Mussa dirisha kubwa la usajili lililopita, kwa sasa vigogo hao ...
BAADA ya Singida Black Stars kumrudisha Joseph Guede aliyekuwa anaichezea Al-Wehdat SC ya Jordan kwa mkopo, kwa sasa ...
LICHA ya beki wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi kubakisha mkataba wa miezi sita na kikosi hicho, ila timu ...
TAARIFA mbaya kwa klabu Yanga ni kwamba, kiungo wao wa zamani Chico Ushindi amefariki dunia leo Desemba 13, 2025 akiwa kwao ...
MCHEZAJI wa zamani wa mpira wa kikapu wa kulipwa, Jason Collins ametangaza amegunduliwa na aina kali ya saratani ya ubongo ...
GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes ameibuka na kumshambulia kocha wa sasa wa timu hiyo, Ruben Amorim, sio mtu sahihi wa ...
CHELSEA imecheka kwa dharau kwa madai ya Arsenal imewapiga kikumbo kwenye kunasa dili la udhamini la pesa ndefu ambalo ...
KLABU nane zitashiriki Kombe la Mapinduzi 2026, baada ya msimu uliopita mashindano hayo kushirikisha timu za taifa na ...
KLABU nane zitashiriki Kombe la Mapinduzi 2026, baada ya msimu uliopita mashindano hayo kushirikisha timu za taifa na ...
Baraza la Sanaa la Taifa ‘Basata’ limetangaza kuahirisha halfa ya ugawaji tuzo za TMA ilizokuwa ikitarajia kufanyika leo Desemba 13,2025.