JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeungana na Jamhuri ya Kenya katika maadhimisho ya Siku ya Jamhuri (Jamhuri Day) ...
DODOMA; WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Dk Nchemba alitoa wito ...