Mtoto wa kiume wa Hayati Cleopa Msuya, aitwaye Job Msuya, amesema baba yake aliagiza akiondoka duniani, kijengwe Chuo Kikuu cha Mwanga, ambacho hakitumii vitabu vingi kama kumbukizi yake. Msuya (94) ...
Hatimaye, mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (Mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, umefikishwa leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) majira ya saa 2:22 asubuhi.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results