KIKUNDI kazi cha kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoani Shinyanga (Shinyanga EVAWC Working Group) kimetoa tamko la kulaani kitendo cha kikatili alichofanyiwa msichana cha kubakwa na ...
Jukwaa la mtandao wa kijamii wa X limeweka uthibiti wa matumizi ya programu yake ya mazungumzo ya AI ya Grok kwa watumiaji wanaolipia kufuatia ukosoaji wa uwezo wake wa kutengeneza picha za kingono ...
TAKRIBANI simu 120 zimekamatwa shuleni, huku zilizo nyingi zikiwa na maudhui yanayohusu ngono na uhusiano kimapenzi. Kaimu Ofisa Elimu Mkoa wa Tabora, Nestory Mashiku, ameyasema hayo mkoani humo, na ...
James Ratcliff joined GameRant in 2022 as a Gaming News Writer. In 2023, James was offered a chance to become an occasional feature writer for different games and then a Senior Author in 2025. He is a ...
Wakenya 200 ambao walitafuta hifadhi katika kambi za kijeshi za Myawaddy na Shwe Kokko walikuwa wamekwama huku wengine 100 wakikimbilia usalama wao nchini Thailand. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Maafisa ...
James Ratcliff joined GameRant in 2022 as a Gaming News Writer. In 2023, James was offered a chance to become an occasional feature writer for different games and then a Senior Author in 2025. He is a ...
Katika dunia ambayo tayari takribani mwanamke mmoja kati ya watatu hupitia ukatili wa kimwili au kingono, kuenea kwa teknolojia za Akili Mnemba AI, kumeongeza kwa kiasi kikubwa wigo, kasi na ukali wa ...
Serikali ya Tanzania imewaonya watu kutosambaza picha na video ambazo huenda zikasababisha hofu. Serikali imesema kufanya hivyo kutapelekea wao kukabiliwa na mashtaka ya uhaini. Hayo ni wakati huduma ...
Takriban watu 700 wameuawa ndani ya siku tatu kufuatia maandamano ya kupinga uchaguzi nchini Tanzania. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, Idadi hiyo imetolewa na chama kikuu cha upinzani, CHADEMA ...