Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima ...
Arusha. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimewataka wanachama wake kuwa makini na matumizi ya teknolojia katika utendaji kazi, hususan Akili Mnemba (AI), ili kunufaika nayo bila kuhatarisha haki, ...
Arusha. Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amezitaka taasisi za kitafiti kuendelea kuimarisha nafasi ya sayansi, teknolojia, na ubunifu katika sekta ya kilimo ili kufanikisha malengo ya Taifa ya ...
Dar es Salaam. Serikali ya Rais Donald Trump imesimamisha kwa muda usiojulikana maombi yote ya uhamiaji kutoka nchi 19, hatua iliyoibua sintofahamu nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hatua hiyo ...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi ...
Katika uhusiano wa ndoa, suala la kutotoshelezwa kimapenzi ni jambo linaloweza kumgusa mtu yeyote, na mara nyingi halimaanishi kwamba mwenzi wako hafai au hashughuliki. Wakati mwingine, hata akiwa ...
Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limekemea vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, huku likitoa wito wa uchunguzi huru utakaoshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa kidemokrasia ...
Dar es Salaam. Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, Serikali hatimaye imetangaza tarehe mpya ya kurejea vyuoni kwa wanafunzi.
Dar es Salaam. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za ajira katika kada tofauti likiwaalika Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi yao. Lengo ni kuongeza nguvu kazi na ...
Haiwi haiwi, huwa na imekuwa! Si Nepali na Madagascar mafyatu walifyatuka na kufyatua kikaumana! Nani alitegemea mafyatu waliodhaniwa kutoweza kufyatuka au kufyatuliwa wangefyatuka na kufyatua ...
Mbeya. Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mabula, aliyeuawa kikatili kisha kuchomwa moto, umezikwa, huku waombolezaji wakipaza sauti kukemea tukio hilo, ...
Dar es Salaam. Wakati waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania na duniani wakiomboleza kifo cha Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, mwalimu na rafiki yake wameeleza namna atakavyokumbukwa. Askofu wa Jimbo ...