Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima ...
Arusha. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimewataka wanachama wake kuwa makini na matumizi ya teknolojia katika utendaji kazi, hususan Akili Mnemba (AI), ili kunufaika nayo bila kuhatarisha haki, ...
Dar es Salaam. Meya mpya wa Jiji la Dar es Salaam, Nurdin Juma, maarufu Shetta amesema katika uongozi wake atahakikisha kila mmoja anapata haki yake inayostahiki na hakuna atakayependelewa. Diwani ...
Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limekemea vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, huku likitoa wito wa uchunguzi huru utakaoshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa kidemokrasia ...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi ...
Dar es Salaam. Serikali ya Rais Donald Trump imesimamisha kwa muda usiojulikana maombi yote ya uhamiaji kutoka nchi 19, hatua iliyoibua sintofahamu nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hatua hiyo ...
Arusha. Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amezitaka taasisi za kitafiti kuendelea kuimarisha nafasi ya sayansi, teknolojia, na ubunifu katika sekta ya kilimo ili kufanikisha malengo ya Taifa ya ...
Kocha Mecky Maxime ndiye mrithi rasmi wa Mbeya City ya Mbeya akichukua mikoba ya Malale Hamsini aliyetimuliwa mwanzoni mwa wiki hii. Maxime ambaye amewahi kuzinoa Kagera Sugar na Dodoma Jiji, ataanza ...
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeanza safari ya kutekeleza mkakati wa kutoa elimu kidijitali kwa kuunganisha kampasi zake zote kwa teknolojia na mawasiliano ili kutoa nafasi kwa ...
Siku moja baada ya Marekani kueleza azma yake ya kutathmini uhusiano wake na Tanzania, mataifa mbalimbali ya Ulaya na Scandinavia, yenye balozi zake nchini, yamelaani mauaji ya raia katika ...
Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao akizungumza na waandishi wa habari juu ya tulio la mwanamke mmoja kujiteka ilj apate fedha Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Hadija ...
Dar es Salaam. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima leo Novemba 30, 2025 wamefanya ibada ya kwanza ya Jumapili, ikiwa imepita zaidi ya miezi sita tangu kufutiwa usajili.