Dar es Salaam. Zaidi ya Sh19 milioni kati ya Sh41 milioni zilizochangwa na Watanzania kwa ajili ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zimepigwa na wajanja ...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amemsikiliza na kumuhudumia Sarah Mohamed aliyefika kwenye viwanja hivyo kupata huduma ya ushauri wa kisheria. Dar es Salaam. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa ...
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Nassoro Hamdani mmoani Tabora. Tabora. Mjumbe mstaafu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Tabora, Nassoro Hamdani, amefariki ...
Tanga. Watu watano wamepoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya mchanga ya Bolbit, Kijiji cha Makuyuni, Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga. Ajali hiyo ilitokea saa 11:30 jioni ...
Manchester, England. Pep Guardiola ameapa kuwa Manchester City itaendelea “kupumua shingoni mwa Arsenal” baada ya ushindi wao wa kushangaza wa dakika za mwisho dhidi ya Liverpool uwanjani Anfield, ...
Wachezaji 24 wa Yanga wameondoka leo saa 9 alasiri kuelekea Morocco ambako timu hiyo itakabiliana na FAR Rabat, Jumamosi, Februari 7, 2026 katika mechi ya raundi ya tano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 17, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumamosi Januari 31, 2026 na ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Polisi wa Mkoa wa Arusha kutangaza kumshikilia Fredrick Mbwambo kwa tuhuma za wizi wa fedha za mchango wa Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
Dar es Salaam. Tofauti na matarajio ya wengi waliokuwa wakikosoa na kuhofia iwapo Bunge la 13 lisingeweza kuweka mbele maslahi ya wananchi katika kusimamia uwajibikaji wa Serikali kutokana na ...
Ujenzi wa uwanja utakaotumika katika michuano ya Afcon 2027 ukiwa unaendelea Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Zanzibar. Unguja. Wakati maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ...
Refa, Tom Abongile kutoka Afrika Kusini, ambaye amepangwa kuchezesha mechi ya kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya FAR Rabat na Yanga itakayochezwa Februari 7, 2026. Picha na Mtandao Refa ...
Zikiwa zimesalia dakika 180 kwa Azam FC kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa kikosi hicho, Florent Ibenge, amesema timu hiyo imeitolea macho ...