TUME ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeanza kuhoji majeruhi na baadhi ya ndugu waliopoteza wapendwa wao kwenye vurugu hizo ...