KANISA la Africa Inland Tanzania (AICT), Pastoreti ya Magomeni mkoani Dar es Salaam, limemwalika Rais Samia Suluhu Hassan katika jubilee ya miaka 50. Sambamba na mwaliko huo, kanisa hilo limeahidi ...