JESHI la Polisi limekanusha taarifa za kukamatwa kwa Askofu mstaafu wa Dayosisi ya KKKT Kaskazini Mashariki, Dk. Stephen Munga, ambazo zimeenea katika baadhi ya mitandao ya kijamii kwamba kongozi huyo ...