Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda wakiuza bidhaa zao kando ya barabara ya madaraka Manispaa ya Morogoro kabla ya kuondolewa na Halmashauri ya Manispaa hiyo na kuwataka warejee kwenye masoko ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Geita. Serikali imetoa siku 14 kutafutwa na kupatikana ufumbuzi wa mgogoro kati ya Kamati ya Uchumi na Fedha ya Halmashauri ya Manipaa ya Geita na mwekezaji wa majengo ya biashara, Rashid Kwanzibwa.
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Azam, Jephte Kitambala, ameandika rekodi mpya baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, kufuatia ushindi wa kikosi ...
Dar es Salaam. Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya kazi zake faragha, ikiwazuia waandishi wa habari kuingia katika ukumbi ambao waathirika wa ...
London, England. Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, juzi amempongeza vikali Michael Carrick kwa kuandaa mpango kamili wa mchezo uliowawezesha Manchester United kuwashinda wapinzani wao na ...
Arusha. Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amemwelezea mzee Edwin Mtei kama kiongozi wa kisiasa na mtendaji wa Serikali jasiri aliyekuwa na uthubutu wa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ...
Arusha. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameshamaliza kazi aliyioifuta jijini Arusha wakati walipoikabili Coastal Union juzi na kupata ushindi wa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ambapo ...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF),Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa wazee wa kuimarisha haki,umoja na amani kwa Watanzania,uliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Michael ...
Dar es Salaam. Mondi anakawaida ya kutoa wimbo kila wiki. Na siyo kutoa tu. Na wimbo 'ukahiti'. Yaani 'everi wiki anaririizi traki na inaenda vairo'. Jamaa kashika kila kitu kinachohusu muziki. Kuna ...